Jimbo la Uchaguzi la Kitui Kusini
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
|
|
Nchi zingine · Atlasi |
Jimbo la Uchaguzi la Kitui Kusini ni mojawapo ya Majimbo 210 ya uchaguzi nchini Kenya. Ni moja kati ya majimbo manne ya Wilaya ya Kitui, Mkoani Mashariki nchini Kenya. Lina wodi sita, zote zikichagua madiwani kwa baraza la Kitui County.
Yaliyomo |
Historia[hariri]
Jimbo hili lilianzishwa wakati wa uchaguzi Mkuu wa 1963, ambao ulikuwa wa kwanza kwa Jamhuri ya Kenya. Wakati wa Uchaguzi mkuu wa 1988 na 1992, Jimbo la uchaguzi la Mutomo.
Wabunge[hariri]
| Uchaguzi | Mbunge [1] | Chama | Vidokezo |
|---|---|---|---|
| 1963 | Philip Nzuki Mbai | KANU | |
| 1969 | Philip Nzuki Mbai | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
| 1974 | Patrice Mwangu Ivuti | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
| 1979 | Patrice Mwangu Ivuti | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
| 1983 | E. Mwangu Ivuti | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
| 1988 | Philip Nzuki Mbai | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
| 1992 | Isaac Mulatya Muoki | KANU | |
| 1997 | Samuel Kalii Kiminza | SDP | |
| 2002 | Patrice Mwangu Ivuti | Ford-Asili | |
| 2007 | Issac Mulatya Muoki | ODM-Kenya |
Wodi[hariri]
| Wodi | |
| Wodi | Wapiga Kura Waliojisajili |
|---|---|
| Ikanga / Kyatune | 9,261 |
| Ikutha / Kasala | 6,892 |
| Kanziko / Simisi / Mathima | 7,199 |
| Maluma / Athi / Kalivu | 9,018 |
| Mutha / Ndakani | 4,310 |
| Mutomo / Kibwea | 7,024 |
| Jumla | 43,704 |
| *Septemba 2005 [2]. | |
Tazama Pia[hariri]
- Maeneo bunge ya Kenya
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 1992
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 1997
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 2002
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 2007
Virejeleo[hariri]
- ↑ Center for Multiparty Democracy: Politics and Parliamenterians in Kenya 1944-2007
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency