Jimbo la Uchaguzi la Kiambaa
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
|
|
Nchi zingine · Atlasi |
Jimbo la Uchaguzi la Kiambaa ni mojawapo ya Majimbo 210 nchini Kenya. Ni moja kati ya Majimbo 5 katika Wilaya ya Kiambu.
Yaliyomo |
HIstoria [hariri]
Jimbo hili lilianzishwa wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 1963.
Wabunge [hariri]
| Uchaguzi | MP [1] | Chama | Vidokezo |
|---|---|---|---|
| 1963 | Mbiyu Koinange | KANU | |
| 1969 | Mbiyu Koinange | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
| 1974 | Mbiyu Koinange | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
| 1979 | Njenga Karume | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
| 1983 | Njenga Karume | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
| 1988 | Njenga Karume | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
| 1992 | J. Kamau Icharia | Ford-Asili | |
| 1997 | Njenga Karume | DP | |
| 2002 | Njenga Karume | KANU | |
| 2007 | Stanley Munga Githunguri | KANU |
Kata na Wodi [hariri]
| kata | |
| Kata | Idadi ya Watu* |
|---|---|
| Cianda | 13,441 |
| Kamiti | 7,496 |
| Kiambaa | 44,859 |
| Kiambaa Settled Area | 18,337 |
| Kihara | 36,710 |
| Ndumberi | 20,396 |
| Riabai | 21,068 |
| Ruaka | 15,348 |
| Ting'ang'a | 14,290 |
| Waguthu | 21,363 |
| Jumla | x |
| *Hesabu ya 1999 [2]. | |
| Wodi | ||
| Wodi | Wapiga Kura Waliojiandikisha | Baraza la Utawala wa Mtaa |
|---|---|---|
| Cianda | 5,433 | Kiambu county |
| Kanunga | 6,033 | Kiambu (Mji) |
| Kiambaa | 14,155 | Karuri (Mji) |
| Kihara | 12,333 | Karuri (Mji) |
| Kihingo | 2,714 | Kiambu (Mji) |
| Muchatha | 8,712 | Karuri (Mji) |
| Ndenderu | 6,683 | Karuri (Mji) |
| Ndumberi | 6,818 | Kiambu (Mji) |
| Riabai | 2,826 | Kiambu (Mji) |
| Technology | 4,820 | Kiambu (Mji) |
| Ting'ang'a | 9,027 | Kiambu county |
| Township | 10,801 | Kiambu town |
| Jumla | 90,355 | |
| *Septemba 2005 [3]. | ||
Tazama Pia [hariri]
- Maneo ya bunge ya Kenya
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 1992
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 1997
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 2002
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 2007
Virejejeo [hariri]
- ↑ Center for Multiparty Democracy: Politics and Parliamenterians in Kenya 1944-2007
- ↑ information.go.ke: CDF allocation by sector and location (2003-6)
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency
Viungo vya Nje [hariri]
- [ http://www.kiambaacdf.or.ke Tovuti ya Kiambaa CDF]