Jimbo la Uchaguzi la Kangundo
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
|
|
Nchi zingine · Atlasi |
Jimbo la Uchaguzi la Kangundo ni mojawapo ya Majimbo 210 ya Uchaguzi nchini Kenya. Mi moja kati ya Majimbo sita ya wilaya ya Kitui na lina wodi sita, zote zikiwachagua madiwani kwa baraza la mji wa Kangundo.
Yaliyomo |
Historia [hariri]
Jimbo hili lilianzishwa wakati wa uchaguzi Mkuu wa 1969. Mbunge wake wa kwanza alikuwa Paul Ngei.
Wabunge [hariri]
| Uchaguzi | Mbunge [1] | Chama | Vidokezo |
|---|---|---|---|
| 1969 | Paul Ngei | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
| 1974 | Paul Ngei | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
| 1979 | Paul Ngei | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
| 1983 | Paul Ngei | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
| 1988 | Paul Ngei | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
| 1990 | Joseph Kimeu Ngutu | KANU | Uchaguzi Mdogo, Mfumo wa Chama Kimoja |
| 1992 | Joseph Wambua Mulusya | DP | |
| 1997 | Joseph Kimeu Ngutu | KANU | |
| 2002 | Moffat Muia Maitha | Sisi kwa Sisi | |
| 2007 | Johnson Nduya Muthama | ODM-Kenya |
Kata na Wodi [hariri]
| Kata | |
| Jina la Kata | Idadi ya Watu[2] |
|---|---|
| Kakuyuni | 19,098 |
| Kalandini | 10,294 |
| Kangundo | 34,565 |
| Kanzalu | 22,334 |
| Kawathei | 19,035 |
| Kivaani | 15,961 |
| Koma rock | 9,505 |
| Kyanzavi | 23,417 |
| Kyeleni | 13,402 |
| Matungulu | 24,028 |
| Nguluni | 13,460 |
| Tala | 27,220 |
| Jumla | x |
| Wodi | |
| Wodi | wapiga Kura waliojisajili |
|---|---|
| Kangundo East | 10,009 |
| Kangundo North | 21,800 |
| Kangundo West | 11,124 |
| Matungulu East | 21,118 |
| Matungulu North | 12,780 |
| Matungulu West | 13,345 |
| Jumla | 90,176 |
| *Septemba 2005 [3]. | |
Tazama Pia [hariri]
- Maeneo bunge ya Kenya
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 1992
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 1997
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 2002
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 2007
Virejeleo [hariri]
- ↑ Center for Multiparty Democracy: Politics and Parliamenterians in Kenya 1944-2007
- ↑ information.go.ke: CDF allocation by sector and location (2003-6)
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency
Viungo vya Nje [hariri]