Jimbo la Uchaguzi la Kaloleni
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kaloleni ni moja kati ya Majimbo 210 ya Uchaguzi nchini Kenya. Linapatikana katika Pwani ya Kenya na ni moja kati ya Majiimbo matatu ya uchaguzi katika Wilaya ya Kilifi
Yaliyomo |
Historia[hariri]
Jimbo hili lilianzishwa wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Kenya wa 1988.
Wabunge[hariri]
| Uchaguzi | Mbunge [1] | Chama | Vidokezo |
|---|---|---|---|
| 1988 | Matthias Benedict Keah | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
| 1992 | Matthias Benedict Keah | KANU | |
| 1997 | Matthias Benedict Keah | KANU | |
| 2002 | Morris Mwachondo Dzoro | NARC | |
| 2007 | Samuel Kazungu Kambi | PNU |
Kata na Wodi[hariri]
| Kata | |
| Kata | Idadi ya Watu* |
|---|---|
| Jibana | 17,025 |
| Kaloleni | 41,689 |
| Kambe | 13,324 |
| Kayafungo | 22,250 |
| Mariakani | 37,469 |
| Mwanamwinga | 21,634 |
| Mwawesa | 15,652 |
| Rabai | 37,670 |
| Ribe | 5,916 |
| Ruruma | 22,180 |
| Tsangatsini | 9,972 |
| Jumla | x |
| Hesabu ya 1999 [2]. | |
| Wodi | ||
| Wodi | Wapiga Kura Waliojisajili |
Utawala wa Mtaa |
|---|---|---|
| Jibana | 6,257 | Kilifi county |
| Kaliangombe | 2,627 | Mariakani (mji) |
| Kaloleni | 10,747 | Kilifi county |
| Kambe | 4,643 | Kilifi county |
| Kawala | 2,665 | Mariakani (mji) |
| Kayafungo | 5,810 | Kilifi county |
| Mariakani | 6,979 | Mariakani (mji) |
| Mugumo-wa-patsa | 5,447 | Mariakani (mji) |
| Mwanamwinga | 5,662 | Kilifi county |
| Rabai | 4,233 | Kilifi county |
| Ribe | 1,739 | Kilifi county |
| Ruruma / Mwaweza | 10,612 | Kilifi county |
| Tsangatsini | 2,893 | Mariakani (mji) |
| Jumla | 70,314 | |
| *Septemba 2005 [3]. | ||
Tazama Pia[hariri]
- Maeneo bunge ya Kenya
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya’ 1992
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya’ 1997
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya’ 2002
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya’ 2007
Virejeleo[hariri]
- ↑ Center for Multiparty Democracy: Politics and Parliamenterians in Kenya 1944-2007
- ↑ information.go.ke: CDF allocation by sector and location (2003-6)
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency
Viungo vya Nje[hariri]