Jimbo la Uchaguzi la Ikolomani
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ikolomani ni Jimbo la uchaguzi nchini Kenya. Ni moja kati ya Majimbo manne ya Uchaguzi katika Wilaya ya Kakamega.
Yaliyomo |
Historia[hariri]
Jimbo hili lilianzishwa wakati wa uchaguzi wa 1963.
Wabunge[hariri]
| Uchaguzi | Mbunge [1] | Chama | Vidokezo zaidi |
|---|---|---|---|
| 1963 | Jonathan Muruli | KADU | |
| 1969 | Seth Lugonzo | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
| 1974 | Clement Lubembe | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
| 1979 | Jeremiah Khamadi Murila | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
| 1983 | Seth Lugonzo | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
| 1988 | Seth Lugonzo | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
| 1992 | Benjamin Ashoni Magwaga | KANU | |
| 1997 | Joseph Jolly Mugalla | KANU | |
| 2002 | Bonny Khalwale | NARC | |
| 2007 | Bonny Khalwale | New Ford Kenya |
Wodi[hariri]
Jimbo hili lina Wodi tatu za Kupiga Kura. Wodi hizi zote huwachagua madiwani kutoka Eneo la Udiwani la Kakamega County.
| Wodi za Udiwani | |
| Wodi | Wapiga Kura Waliojiandikisha |
|---|---|
| Eregi | 8,291 |
| Iguhu | 15,791 |
| Isulu | 14,848 |
| Jumla | 38,930 |
| *Septemba 2005 [2]. | |
Tazama Pia[hariri]
Virejeleo[hariri]
- ↑ Center for Multiparty Democracy: Politics and Parliamenterians in Kenya 1944-2007
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Wapiga Kura waliojiandikisha katika kila Eneo la Uchaguzi/Wodi na Jimbo la Ubunge