Jimbo la Uchaguzi la Horr Kaskazini
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jimbo la Uchaguzi la Horr Kaskazini ni mojawapo ya Majimbo 210 ya Uchaguzi nchini Kenya. Jimbo linapatikana katika Wilaya ya Marsabit mkoani Mashariki, miongoni mwa majimbo matatu ya wilaya hiyo. Eneo lote la jjimbo hili linapatikana katika eneo la baraza la utawala wa mitaa la Marsabit County.
| Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
|
|
Nchi zingine · Atlasi |
Yaliyomo |
Historia [hariri]
Jimbo hili lilianzishwa wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 1988.
Wabunge [hariri]
| Uchaguzi | Mbunge [1] | Chama | Vidokezo |
|---|---|---|---|
| 1988 | Bonaya Godana | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
| 1992 | Bonaya Godana | KANU | |
| 1997 | Bonaya Godana | KANU | |
| 2002 | Bonaya Godana | KANU | Godana aliaga dunia katika ajali ya ndege wakati akihudumu. |
| 2006 | Ukur Yattani | Narc-Kenya | Uchaguzi Mdogo |
| 2007 | Francis Chachu Ganya | ODM |
Kata na Wodi [hariri]
| Kata | |
| Kata | Idadi ya watu* |
|---|---|
| Balesa Ririba | 5,215 |
| Bubisa | 3,541 |
| Dukana | 6,660 |
| Galas | 4,000 |
| Hurii hills | 3,373 |
| Illeret | 5,045 |
| Kalacha | 7,937 |
| Maikona | 7,092 |
| North horr | 7,715 |
| Turbi | 1,800 |
| Jumla | x |
| *Hesabu ya 1999 [2]. | |
| Wodi | |
| Wodi | Wapiga Kura waliojisajili |
|---|---|
| Bubisa | 2,886 |
| Dukana | 4,188 |
| Hurri Hills | 1,269 |
| Illeret | 681 |
| Kalacha | 2,023 |
| Maikona | 2,165 |
| North Horr | 4,421 |
| Jumla | 17,633 |
| *Septemba 2005 [3]. | |
Tazama Pia [hariri]
- Maeneo bunge ya Kenya
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 1992
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 1997
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 2002
Virejeleo [hariri]
- ↑ Center for Multiparty Democracy: Politics and Parliamenterians in Kenya 1944-2007
- ↑ information.go.ke: CDF allocation by sector and location (2003-6)
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency
Viungo vya Nje [hariri]