Jimbo la Uchaguzi la Githunguri
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
|
|
Nchi zingine · Atlasi |
Jimbo la Uchaguzi la Githunguri ni moja ya Majimbo 210 ya Uchaguzi nchini Kenya. Ni moja kati ya majimbo matano ya Wilaya ya Kiambu katika Mkoa wa Kati wa Kenya. Eneo zima la jimbo hili liko chini ya Baraza la Kiambu County.
Yaliyomo |
Historia [hariri]
Jimbo hili lilianzishwa kwa Uchaguzi Mkuu wa 1963 wakati Kenya ilipata uhuru.
Wabunge [hariri]
| Uchaguzi | Mbunge [1] | Chama | Vidokezo |
|---|---|---|---|
| 1963 | Waira Kamau | KANU | |
| 1969 | Arthur Kinyanjui Magugu | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
| 1974 | Arthur Kinyanjui Magugu | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
| 1979 | Arthur Kinyanjui Magugu | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
| 1983 | Arthur Kinyanjui Magugu | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
| 1988 | Arthur Kinyanjui Magugu | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
| 1992 | Josephat Karanja | KANU | Karanja aliaga wakati akihudumu |
| 1994 | Njehu Gatabaki | Ford-Asili | Uchaguzi Mdogo |
| 1997 | Njehu Gatabaki | Social Democratic Party | |
| 2002 | Arthur Kinyanjui Magugu | Kenya African National Union | |
| 2007 | Peter Njoroge Baiya | Safina |
Kata na Wodi [hariri]
| Kata | |
| Kata | Idadi ya Watu* |
|---|---|
| Githiga | 30,918 |
| Githunguri | 35,365 |
| Ikinu | 24,504 |
| Komothai | 40,073 |
| Ngewa | 24,031 |
| Jumla | x |
| *Hasabu ya 1999 [2]. | |
| Wodi | |
| Wodi | Wapiga Kura Waliojisajili |
|---|---|
| Githiga | 13,407 |
| Githunguri | 15,246 |
| Ikinu | 12,292 |
| Komothai | 19,375 |
| Ngewa | 11,464 |
| Jumla | 71,784 |
| *Septemba 2005 [3]. | |
Tazama Pia [hariri]
- Maeneo bunge ya Kenya
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 1992
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 1997
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 2002
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 2007
Virejeleo [hariri]
- ↑ Center for Multiparty Democracy: Politics and Parliamenterians in Kenya 1944-2007
- ↑ information.go.ke: CDF allocation by sector and location (2003-6)
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency