Jimbo la Uchaguzi la Gatanga
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
|
|
Nchi zingine · Atlasi |
Gatanga ni mojawapo ya Majimbo ya Uchaguzi ya Kenya. Jimbo hili linapatikana katika Mkoa wa Kati na ni moja kati ya majimbo manne ya Uchaguzi yaliyo katika Wilaya ya Thika. Lina wodi saba ambazo zote zimo katika baraza la County la Thika.
Yaliyomo |
Historia[hariri]
Jimbo hili lilianzishwa wakati wa uvhaguzi mkuu wa 1988 kutokana na kugawanwa kwa jimbo kuu la Kandara kutengeneza majimbo mawili.
Tarafa[hariri]
Jimbo hili lina tarafa mbili za utawala: Gatanga na Kakuzi, ambayo ilianzishwa mnamo 2002[1].
Wabunge[hariri]
| Uchaguzi | Mbunge [2] | Chama | Vidokezo |
|---|---|---|---|
| 1988 | Joseph Mwaura Gachui | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
| 1992 | Josephat Mburu Wanyoike | Ford-Asili | |
| 1997 | David Wakairu Murathe | SDP | |
| 2002 | Peter Kenneth | NARC | |
| 2007 | Peter Kenneth | PNU |
Wodi[hariri]
| Wodi | |
| Wodi | Wapiga Kura Waliojiandikisha |
|---|---|
| Gatanga | 14,104 |
| Ithanga | 7,801 |
| Kakuzi | 6,781 |
| Kariara | 8,488 |
| Kigoro | 9,331 |
| Kihumbuini | 15,542 |
| Mitubiri | 8,715 |
| Jumla | 70,762 |
| *Septemba 2005 [3]. | |
Tazama Pia[hariri]
- Maeneo bunge ya Kenya
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 1997
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 2002
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 2007
Virejeleo[hariri]
- ↑ Gatanga Constituency website
- ↑ Center for Multiparty Democracy: Politics and Parliamenterians in Kenya 1944-2007
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency
Viungo vya Nje[hariri]