Jimbo la Uchaguzi la Ganze
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ganze ni jina la Jimbo la uchaguzi nchini Kenya. Ni moja kati ya majimbo matatu ya Uchaguzi yanayopatikana katika Wilaya ya Kilifi iliyoko katika Pwani mwa Kenya. Jimbo hili lina wodi tisa, zote zikiwachagua madiwani kwa Baraza la Kilifi County.
Yaliyomo |
Historia [hariri]
Jimbo hili lilianzishwa awakati wa Uchaguzi Mkuu wa 1988.
Wabunge [hariri]
| Uchaguzi | Mbunge [1] | Chama | Vidokezo |
|---|---|---|---|
| 1988 | Noah Katana Ngala | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
| 1992 | Noah Katana Ngala | KANU | |
| 1997 | Noah Katana Ngala | KANU | |
| 2002 | Joseph Kahindi Kingi | NARC | |
| 2007 | Francis Bayah | KADU-A |
Kata na Wodi [hariri]
| Kata | |
| Kata | Idadi ya Wakazi* |
|---|---|
| Bamba | 20,701 |
| Bandari | 8,419 |
| Dungicha | 4,132 |
| Ganze | 10,046 |
| Jaribuni | 6,210 |
| Kauma | 10,797 |
| Mitangani | 7,053 |
| Mrima wa Ndege | 5,577 |
| Mwahera | 16,519 |
| Ndigiria | 8,367 |
| Palakumi | 10,069 |
| Sokoke | 19,351 |
| Vitengeni | 12,171 |
| Jumla | 139,412 |
| Hesabu ya 1999 [2]. | |
| Wodi | |
| Wodi | Wapiga Kura Waliojisajili |
|---|---|
| Bamba | 5,405 |
| Dungicha / Ganze | 4,259 |
| Kauma / Jaribuni | 4,259 |
| Mitangani | 2,008 |
| Mwahera | 4,048 |
| Ndigiria / Bandari | 4,202 |
| Palakumi | 2,677 |
| Sokoke | 5,214 |
| Vitengeni | 4,518 |
| Jumla | 36,590 |
| *Septemba 2005 [3]. | |
Tazama Pia [hariri]
- Noah Katana Ngala
- Maeneo bunge ya Kenya
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 1992
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 1997
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 2002
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 2007
Virejeleo [hariri]
- ↑ Center for Multiparty Democracy: Politics and Parliamenterians in Kenya 1944-2007
- ↑ information.go.ke: CDF allocation by sector and location (2003-6)
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency
Viungo vya Nje [hariri]