Jimbo la Uchaguzi la Funyula
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jimbo la Uchaguzi la Funyula ni mojawapo ya Majimbo ya Uchaguzi nchini Kenya. Jimbo hili linapatikana katika Wilaya ya Busia, miongoni mwa majimbo manne ya wilaya hiyo.
| Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
|
|
Nchi zingine · Atlasi |
Yaliyomo |
Historia [hariri]
Jimbo hili lilianzishwa wakati wa uchaguzi Mkuu wa 1997. Aliyekuwa Makamu wa Rais Moody Awori alikuwa akiliwakilisha jimbo hili. Kabla ya kuanzishwa kwa jimbo hili aliwahi kuwakilisha majimbo ya Uchaguzi ya Busia Kusini na Samia.[1].
Wabunge [hariri]
| Uchaguzi | Mbunge [1] | Chama | Vidokezo |
|---|---|---|---|
| 1997 | Moody Awori | KANU | |
| 2002 | Moody Awori | NARC | |
| 2007 | Paul Otuoma | ODM |
Wodi [hariri]
| Wodi | ||
| Wodi | Wapiga Kura Waliojisajili | Utawala wa Mitaa |
|---|---|---|
| Bwiri | 5,552 | Busia county |
| Funyula North | 9,056 | Busia county |
| Funyula South | 9,207 | Busia county |
| Namboboto | 3,381 | Funyula (Mji) |
| Nangina | 2,220 | Funyula (Mji) |
| Odiado | 1,044 | Funyula (Mji) |
| Wakhungu | 1,493 | Funyula (Mji) |
| Jumla | 31,953 | |
| *Septemba 2005 [2]. | ||
Tazama Pia [hariri]
Virejeleo [hariri]
- ↑ 1.0 1.1 Center for Multiparty Democracy: Politics and Parliamenterians in Kenya 1944-2007
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency