Jimbo la Uchaguzi la Emuhaya
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jimbo la Uchaguzi la Emuhaya ni mojawapo ya Majimbo ya Uchaguzi nchini Kenya. Jimbo hili linapatikana katika Wilaya ya Vihiga mkoani Magharibi, miongoni mwa majimbo manne katika Wilaya hiyo.
Yaliyomo |
Historia[hariri]
Jimbo hili lilianzishwa wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 1963. Baada ya Uchaguzi Mkuu wa 2007, jimbo hili lilikuwa likiwakilishwa na Kinara wa Bunge Kenneth Marende wa Orange Democratic Movement (ODM)]] ambay hatimaye alichaguliwa kuwa Spika wa Bunge Mnamo Januari 2008.
Wabunge[hariri]
| Uchaguzi | Mbunge [1] | Chama | Vidokezo |
|---|---|---|---|
| 1963 | Edward Eric Khasakhala | KADU | |
| 1969 | Wilson Mukuna | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
| 1974 | Wilson Mukuna | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
| 1979 | Edward Eric Khasakhalaa | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
| 1983 | Edward Eric Khasakhala | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
| 1988 | Samuel Muhanji | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
| 1989 | Wilson Mukuna | KANU | Uchaguzi Mdogo, Mfumo wa Chama Kimoja |
| 1992 | Sheldon Muchilwa | KANU | |
| 1997 | Sheldon Muchilwa | KANU | |
| 2002 | Kenneth Marende | NARC | |
| 2007 | Kenneth Marende | ODM | Marende alichaguliwa kuwa spika huku akikiacha kiti hicho wazi |
| 2008 | Wilbur Ottichilo | ODM | Uchaguzi Mdogo |
Wodi[hariri]
| Wodi | ||
| Wodi | Wapiga Kura Waliojiandikisha | Utawala wa Mitaa |
|---|---|---|
| Central Bunyore | 10,256 | Vihiga county |
| Emabungo | 7,016 | Luanda (Mji) |
| Emuhaya North | 13,975 | Vihiga county |
| Luanda | 8,593 | Luanda (Mji) |
| Luanda South | 5,418 | Vihiga county |
| Mukhalakhala | 6,033 | Luanda (Mji) |
| Mwibona | 4,305 | Luanda (Mji) |
| Wemilabi | 9,232 | Luanda (Mji) |
| West Bunyore | 6,234 | Vihiga county |
| Jumla | 71,062 | |
| *Septemba 2005 [2]. | ||
Tazama Pia[hariri]
- Maeneo bunge ya Kenya
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 1992
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 1997
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 2002
Virejeleo[hariri]
- ↑ Center for Multiparty Democracy: Politics and Parliamenterians in Kenya 1944-2007
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency