Jimbo la Uchaguzi la Dujis
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jimbo la Uchaguzi la Dujis ni mojawapo ya majimbo 210 ya uchaguzi nchini Kenya. Ni moja kati ya majimbo matatu katika Wilaya ya Garissa.
| Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
|
|
Nchi zingine · Atlasi |
Yaliyomo |
Historia [hariri]
Jimbo hili lilianzishwa wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Kenya wa 1988.
Wabunge [hariri]
| Uchaguzi | Mbunge [1] | Chama | Vidokezo |
|---|---|---|---|
| 1988 | Hussein Maalim Mohamed | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
| 1992 | Hussein Maalim Mohamed | KANU | |
| 1997 | Hussein Maalim Mohamed | KANU | |
| 2002 | Hussein Maalim Mohamed | KANU | |
| 2007 | Aden Bare Duale | ODM |
Wodi [hariri]
| Wodi | ||
| Wodi | Wapiga Kura Waliojisajili | Utawala wa Mitaa |
|---|---|---|
| Biashara | 3,994 | Munisipali ya Garissa |
| Bulla | 2,887 | Munisipali ya Garissa |
| Jamhuri | 2,747 | Munisipali ya Garissa |
| Market | 5,578 | Munisipali ya Garissa |
| Mashambani | 1,596 | Munisipali ya Garissa |
| Stadium | 4,796 | Munisipali ya Garissa |
| Sankuri / Raya | 1,838 | Garissa County |
| Balambala | 2,563 | Garissa County |
| Denyere | 1,167 | Garissa County |
| Jara Jara | 595 | Garissa County |
| Kora Kora | 1,306 | Garissa County |
| Saka | 965 | Garissa County |
| Shimbiri | 880 | Garissa County |
| Jumla | 30,912 | |
| *Septemba 2005 [2]. | ||
Tazama Pia [hariri]
- Maeneo bunge ya Kenya
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 1992
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 1997
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 2002
Virejeleo [hariri]
- ↑ Center for Multiparty Democracy: Politics and Parliamenterians in Kenya 1944-2007
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency
Viungo vya Nje [hariri]
- Dujis Constituency Online (unofficial)
- Map of the constituency
| Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
|
|
Nchi zingine · Atlasi |