Jimbo la Uchaguzi la Bondo
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Bondo ni jina la mojawapo ya Jimbo la Uchaguzi nchini Kenya. Ni moja katiya Majimbo mawili yanayopatikana katika Wilaya ya Bondo.
Yaliyomo |
Historia [hariri]
Wabunge [hariri]
| Uchaguzi | Mbunge [1] | Chama | Vidokezo |
|---|---|---|---|
| 1963 | Oginga Odinga | KPU / KANU | |
| 1966 | Oginga Odinga | KPU | |
| 1969 | William Odongo Omamo | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
| 1974 | John Hezekiah Ougo | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
| 1979 | John Hezekiah Ougo | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
| 1980 | William Odongo Omamo | KANU | Uchaguzi Mdogo. Mfumo wa Chama Kimoja |
| 1983 | William Odongo Omamo | KANU | One-party system. |
| 1988 | Gilbert Paul Oluoch | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
| 1992 | Oginga Odinga | Ford-Kenya | Odinga aliaga wakati akihudumu |
| 1995 | Oburu Odinga | NDP | Uchaguzi Mdogo |
| 1997 | Oburu Odinga | NDP | |
| 2002 | Oburu Odinga | NARC | |
| 2007 | Oburu Odinga | ODM |
Wodi [hariri]
| Wodi | ||
| Wodi | Wapiga Kura Waliojiandikisha |
Utawakla wa Mtaa |
|---|---|---|
| Ajigo | 2,160 | Bondo (Mji) |
| Bar kowino East | 1,773 | Bondo (Mji) |
| Bar kowino West | 1,010 | Bondo (Mji) |
| Bondo town | 3,640 | Bondo (Mji) |
| Maranda West | 3,416 | Bondo county |
| North Sakwa | 3,258 | Bondo county |
| Nyang'oma | 13,420 | Bondo county |
| Nyawita | 2,783 | Bondo (Mji) |
| Usigu East | 6,021 | Bondo county |
| Usigu West | 10,521 | Bondo county |
| Jumla | 48,002 | |
| *Septemba 2005 [2]. | ||
Tazama Pia [hariri]
- Oginga Odinga
- Oburu Odinga
- Maeneo bunge ya Kenya
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 2007
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 2002
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 1997
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 1992
Virejeleo [hariri]
- ↑ Center for Multiparty Democracy: Politics and Parliamenterians in Kenya 1944-2007
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency