Jimbo la Uchaguzi la Aldai
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jimbo la Uchaguzi la Aldai ni mojawapo ya majimbo ya Uchaguzi nchini Kenya. Jimbo hili linpatikana katika Wilaya ya Nandi miongoni mwa majimbo manne ya Wilaya hiyo.
| Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
|
|
Nchi zingine · Atlasi |
Yaliyomo |
Historia [hariri]
Jimbo hili lilianzishwa wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 1966.
Wabunge [hariri]
| Uchaguzi | Mbunge [1] | Chama | Vidokezo |
|---|---|---|---|
| 1966 | John K. Cheruiyot | KANU | |
| 1969 | Simeon Kiptum arap Choge | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
| 1974 | Simeon Kiptum arap Choge | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
| 1979 | Samuel Kibiebei arap Ngeny | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
| 1983 | Samuel Kibiebei arap Ngeny | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
| 1988 | John Kiplagat Cheruiyot | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
| 1992 | J. Paul Titi | KANU | |
| 1997 | Simeon Kiptum Choge | KANU | |
| 2002 | Jimmy Choge | KANU | |
| 2007 | Sally Kosgey | ODM |
Wodi [hariri]
| Wodi | |
| Wodi | Wapiga KUra Waliojiandikisha |
|---|---|
| Chemase | 2,630 |
| Chepkumia | 5,831 |
| Kabwareng | 6,588 |
| Kaptumo | 4,553 |
| Kemeloi | 6,017 |
| Kibwareng / Chebilat | 6,317 |
| Koyo | 2,736 |
| Maraba | 4,022 |
| Ndurio | 3,573 |
| Terik | 6,526 |
| Jumla | 48,793 |
| *Septemba 2005 [2]. | |
Tazama Pia [hariri]
- Maeneo bunge ya Kenya
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 1992
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 1997
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 2002
Virejeleo [hariri]
- ↑ Center for Multiparty Democracy: Politics and Parliamenterians in Kenya 1944-2007
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency