Mersin
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Jimbo la Mersin)
| Mersin | |
| Nchi | |
|---|---|
| Mkoa | Mediterenea |
| Jimbo | Mersin |
| Idadi ya wakazi (2007) | |
| - Mji | 2,275,216 |
| Tovuti: Mersin | |
Mersin ni jiji kubwa na bandari yenye kazi nyingi ya nchini Uturuki. Jiji lipo katika pwani ya mjini kusini mwa Mediteranea. Huu ni mji mkuu wa Jimbo la Mersin. Takriban watu 2,275,216 wanaishi mjini hapa. Mji upo m 100 kutoka juu ya usawa wa bahari.
Marejeo [hariri]
- Blue Guide, Turkey, The Aegean and Mediterranean Coasts (ISBN 0-393-30489-2), pp. 556–557.
- Blood-Dark Track: A Family History (Granta Books) by Joseph O'Neill, contains a detailed and evocative history of the city, viewed from the perspective of a Christian Syrian family long resident in Mersin.
- Richard Talbert, Barrington Atlas of the Greek and Roman World, (ISBN 0-691-03169-X), p. 66
This article incorporates text from a publication now in the public domain: Herbermann, Charles, ed (1913). Catholic Encyclopedia. Robert Appleton Company.
Viungo vya Nje [hariri]
- Ministry of Tourism and Culture - Mersin Page
- Princeton Encyclopedia of Classical Sites
- Catholic Encyclopedia "Zephyrium"
- Mersin Chamber of Commerce and Industry
- Mersin Guide
- Mersin Companies
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
|
|||||||
| Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mersin kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |