Jimbo katoliki la Tanga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Jimbo Katoliki la Tanga (kwa Kilatini Dioecesis Tangaënsis) ni mojawapo kati ya majimbo ya Kanisa Katoliki nchini Tanzania.

Makao makuu yake ni katika mji wa Tanga na linahusiana na Jimbo kuu la Dar-es-Salaam.

Askofu wa jimbo ni Anthony Banzi


Historia[hariri | hariri chanzo]

Uongozi[hariri | hariri chanzo]

Takwimu[hariri | hariri chanzo]

Eneo la jimbo ni km2 26,807, ambapo kati ya wakazi 1,650,000 (2004) kulikuwa na Wakatoliki 180,000 (10.9%).

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]