Jimbo Kuu la Nairobi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Jimbo Kuu la Nairobi (kwa Kilatini Archidioecesis Nairobien(sis)) ni jimbo kuu la kanda ya Kanisa Katoliki ya Nairobi nchini Kenya.

Kanisa kuu la jimbo ni Basilika ndogo ya Familia Takatifu huko Nairobi.

Askofu mkuu ni kardinali John Njue. Askofu msaidizi wake ni David Kamau Ng'ang'a.

Historia[hariri | hariri chanzo]

Kuanzishwa kwa Apostolic Prefecture ya Zanguebar kutokana na Jimbo Katoliki la Saint-Denis-de-La Réunion katika kisiwa cha Réunion

Kupandishwa cheo kuwa Apostolic Vicariate ya Zanguebar

Kubadilishwa jina kuwa Apostolic Vicariate ya Northern Zanguebar

Kubadilishwa jina kuwa Apostolic Vicariate ya Zanzibar

Kuanzishwa kwa jimbo kuu la Nairobi

Uongozi[hariri | hariri chanzo]

Majimbo yaliyo chini yake[hariri | hariri chanzo]

Takwimu[hariri | hariri chanzo]

Eneo la jimbo lina kilometa mraba 3,271, ambapo kati ya wakazi 4,020,100, Wakatoliki ni 1.228.100 (30.5%) katika parokia 90.

Wanahudumiwa na mapadri 478 (104 wanajimbo na 374 watawa), mbali ya mabruda 1,290 na masista 1,034.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]