Jimbo Katoliki la Tunduru-Masasi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Jimbo katoliki la Tunduru-Masasi (kwa Kilatini Dioecesis Tunduruensis-Masasiensis) ni mojawapo kati ya majimbo 33 ya Kanisa Katoliki nchini Tanzania na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma.

Kikanisa linahusiana na jimbo kuu la Songea.

Askofu wake ni Castor Paul Msemwa.

Yaliyomo

Historia [hariri]

  • 1986: Kuanzishwa kwa jimbo ya Tunduru-Masasi kutokana na jimbo ya Nachingwea

Uongozi [hariri]

Takwimu [hariri]

Eneo ni la kilometa mraba 22,730, ambapo kati ya wakazi 725,000 (2006) Wakatoliki ni 101,114 (13.9%).

Viungo vya nje [hariri]