Jimbo Katoliki la Shinyanga
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jimbo katoliki la Shinyanga (kwa Kilatini Dioecesis Shinyangaënsis) ni mojawapo kati ya majimbo 33 ya Kanisa Katoliki nchini Tanzania na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma.
Kikanisa linahusiana na jimbo kuu la Mwanza.
Askofu wake ni Aloysius Balina.
Yaliyomo |
Historia [hariri]
Uongozi [hariri]
- Maaskofu wa Shinyanga
- Aloysius Balina (since 1997)
- Castor Sekwa (1975 – 1996)
- Edward Aloysius McGurkin MM (1956 – 1975)
Takwimu [hariri]
Eneo ni la kilometa mraba 30,000, ambapo kati ya wakazi 2,166,000 (2006) Wakatoliki ni 309,000 (14.3%).