Jimbo Katoliki la Rulenge-Ngara

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Jimbo katoliki la Rulenge-Ngara (kwa Kilatini Dioecesis Rulengensis-Ngaraensis) ni mojawapo kati ya majimbo 33 ya Kanisa Katoliki nchini Tanzania na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma.

Kikanisa linahusiana na jimbo kuu la Mwanza.

Askofu wake ni Severine Niwemugizi.

Historia[hariri | hariri chanzo]

Uongozi[hariri | hariri chanzo]

Takwimu[hariri | hariri chanzo]

Eneo ni la kilometa mraba 13,004, ambapo kati ya wakazi 767,359 (2006) Wakatoliki ni 344,054 (44.8%).

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]