Jimbo Katoliki la Njombe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Jimbo katoliki la Njombe (kwa Kilatini Dioecesis Niombenus) ni mojawapo kati ya majimbo 33 ya Kanisa Katoliki nchini Tanzania na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma.

Kikanisa linahusiana na jimbo kuu la Songea.

Askofu wake ni Alfred Leonhard Maluma.

Yaliyomo

Historia [hariri]

  • 1968: Kuanzishwa kwa jimbo ya Njombe kutokana na jimbo ya Iringa

Uongozi [hariri]

  • Maaskofu wa Njombe

Takwimu [hariri]

Eneo ni la kilometa mraba 20,860, ambapo kati ya wakazi 717,000 (2006) Wakatoliki ni 294,100 (41.0%).

Viungo vya nje [hariri]