Jimbo Katoliki la Mpanda

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Jimbo katoliki la Mpanda (kwa Kilatini Dioecesis Mpandensis) ni mojawapo kati ya majimbo 33 ya Kanisa Katoliki nchini Tanzania na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma.

Kikanisa linahusiana na jimbo kuu la Arusha.

Askofu wake ni William Pascal Kikoti.

Yaliyomo

Historia [hariri]

  • 2000: Kuanzishwa kwa jimbo ya Mpanda kutokana na jimbo ya Tabora

Uongozi [hariri]

  • Maaskofu wa Mpanda
    • William Pascal Kikoti (since 2000)

Takwimu [hariri]

Eneo ni la kilometa mraba 46,346, ambapo kati ya wakazi 496,307 (2006) Wakatoliki ni 292,304 (58.9%).

Viungo vya nje [hariri]