Jimbo Katoliki la Mbinga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Jimbo katoliki la Mbinga (kwa Kilatini Dioecesis Mbingaensis) ni mojawapo kati ya majimbo 33 ya Kanisa Katoliki nchini Tanzania na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma.

Kikanisa linahusiana na jimbo kuu la Songea.

Askofu wake ni John Chrisostom Ndimbo.

Yaliyomo

Historia [hariri]

  • 1986: Kuanzishwa kwa jimbo ya Mbinga kutokana na jimbo ya Songea

Uongozi [hariri]

  • Maaskofu wa Mbinga

Takwimu [hariri]

Eneo ni la kilometa mraba 11,400, ambapo kati ya wakazi 524,945 (2006) Wakatoliki ni 392,871 (74.8%).

Viungo vya nje [hariri]