Jimbo Katoliki la Bunda

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Jimbo Katoliki la Bunda (kwa Kilatini Dioecesis Bundanus) ni mojawapo kati ya majimbo 34 ya Kanisa Katoliki nchini Tanzania na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma.

Eneo lake ni la kilometa mraba 5,330 (wilaya ya Bunda, wilaya ya Ukerewe na parokia mbili katika wilaya ya Bunda vijijini) na lina wakazi 1,023,397 (2004), ambao kati yao Wakatoliki ni 335,000 (32.7 %). Parokia ziko 13.

Kikanisa linahusiana na Jimbo Kuu la Mwanza.

Askofu wake ni Renatus Leonard Nkwande na makao yake ni Bunda mjini. Kanisa kuu limejengwa kwa heshima ya Mtume Paulo.

Anasaidiwa na mapadri 22, ambao kati yao 20 ni wanajimbo na 2 ni watawa. Kwa wastani kila mmojawao anahudumia waamini 15,227. Pia kuna masista 20.

Historia[hariri | hariri chanzo]

na jimbo la Musoma.

Uongozi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]