Jiji la Quebec
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Jiji la Quebec | |
| Nchi | Kanada |
|---|---|
| Mkoa | Quebec |
| Idadi ya wakazi | |
| - Mji | 491,142 |
| Tovuti: www.ville.quebec.qc.ca | |
Quebec (Kifaransa: Ville de Québec; Kiingereza: Quebec City) ni mji mkuu na mji wa pili katika mkoa wa Quebec. Mwaka 2006 ilikuwa na wakazi 491,142 mjini, pamoja na mitaa ya jirani rundiko la mji lina wakazi 715,515. Eneo lake ni 454.26 km². Mji upo m 5 kutoka juu ya usawa wa bahari.
Jina la Saskatoon ni ya Kialgonquin, maana yake ni ambapo mto linakuwa nyembamba lenye.
Mji ulianzishwa mwaka 1608
| Makala hii kuhusu maeneo ya Kanada bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Jiji la Quebec kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |