Je, huu ni ungwana

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Je, hii ni ungwana)

Je Huu ni Ungwana ni kipindi maarufu cha elimu, burudani, na ucheshi cha mtangazaji Leonard Mambo Mbotela katika redio ya Kenya Broadcasting Corporation nchini Kenya.

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Je, huu ni ungwana kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.