Jana Sio Leo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
“Jana Sio Leo”
Single ya Zola D akimsh. Dknob na Mez B`
kutoka katika albamu ya Jana Sio Leo
Imetolewa 21 Oktoba 2003
Imerekodiwa 2003
Aina Hip Hop
Studio Mandugu Digital
Mtunzi David Mlope
Innocent Sahani
Mez B
Mtayarishaji Shark
Back Stage
Mwenendo wa za Zola D
"Baby Njoo"
(2000)
"Jana Sio Leo" "Moto wa Tipa"
(2005)
Mwenendo wa za Dknob
"Elimu Mitaani.com"
(2003)
"Jana Sio Leo" "Sauti ya Gharama"

'Jana Sio Leo ni wimbo wa Zola D akimshirikisha Dknob na Mez B. Wimbo ulitayarishwa katika studio ya Mandugu Digital ya Dar es Salaam, ikiwa chini ya utayarishaji wake Shark na Back Stage kunako mwaka wa 2003. Wimbo umepata kushika chati kadhaa katika maredio ya Dar - sanasana katika Times Fm redio.

Waliouza sura katika video ya jana sio leo alikuwa Mr. Dude, Mtanga na wengineo kibao. Video yake ilifanywa na kampuni utengenezaji wa filamu na video za muziki iitwayo Rav Production. Vilevile nyimbo hii imepata kuwa kama kibwagizo cha filamu ya Nyuma ya Pazia ya mwaka 2003.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]