James Siang'a
| Playing position | Goalkeeper | ||
|---|---|---|---|
| Club information | |||
| Current club | Gor Mahia (manager) | ||
| Timu ya Taifa ya Kandanda | |||
| Kenya | |||
| Teams managed | |||
| Years | Team | ||
| 1999–2000 | Kenya | ||
| 2001–2003 | Simba SC | ||
| 2002 | Tanzania | ||
| 2003–2004 | Express FC | ||
| 2004–2005 | Moro United | ||
| 2007 | Mtibwa Sugar | ||
| 2009– | Gor Mahia | ||
| † Appearances (Goals). | |||
James Aggrey Siang'a ni mchezaji kandanda wa kimataifa wa kitambo wa Kenya. Kwa sasa yeye ni meneja hodari wa kandanda, amekuwa mkufunzi katika mataifa mengi barani Afrika katika viwango vya vilabu na vya kitaifa, na hivi majuzi alikuwa mkufunzi wa klabu ya Gör Mahia.
Yaliyomo |
Wasifu [hariri]
Wasifu wake wa Uchezaji [hariri]
Siang'a alicheza kama mlinda lango na alicheza katika kiwango cha kimataifa kwa timu ya kitaifa ya Kenya.
Wasifu wa Ukocha [hariri]
Siang'a alikuwa mkufunzi wa timu ya kitaifa ya Kenya kati ya miaka ya 1999 na 2000. Siang'a kisha akahamia nchi ya Tanzania, ambapo alikuwa meneja wa timu ya kandanda ya kitaifa ya Tanzania mwaka wa 2002.[1] Siang'a pia alikuwa mkufunzi wa klabu za Tanzania za Simba SC na Moro United na vilevile Express FC ya Uganda.[2] Mnamo Oktoba mwaka wa 2004, akiwa bado katika klabu ya Moro United, Siang'a aliombawa kuchukua nyadhifa ya kuwa meneja wa timu ya taifa ya Kenya lakini alikataa.[2][3] Baadaye mwezi huo, Siang'a pia aliombwa kuchukua nyadhifa ya umeneja kwa timu ya kitaifa ya Tanzania na kwa mara nyingine tena, alikataa.[4] Siang'a pia alikuwa mkufunzi wa timu ya Mtibwa Sugar nchini Tanzania, kabla ya kuwa kocha wa Gör Mahia nchini Kenya.[5][6]
Tuzo [hariri]
- Kombe la maklabu ya CECAFA - Simba SC (2002) [7]
Marejeo [hariri]
- ↑ Emmanuel Muga (20 Julai 2002). Taifa stars in crisis. BBC Sport. Rudishwa juu ya 28 Mei 2009.
- ↑ Cite error: Invalid
<ref>tag; no text was provided for refs namedSiang.27a_rejects_Kenya - ↑ Emmanuel Muga (31 Machi 2004). Siang'a demands his share. BBC Sport. Rudishwa juu ya 28 Mei 2009.
- ↑ Emmanuel Muga (29 Oktoba 2004). Tanzania appoint Phiri. BBC Sport. Rudishwa juu ya 28 Mei 2009.
- ↑ Robin Toskin (7 Aprili 2009). Siang'a's future at Gor in doubt. The Standard. Rudishwa juu ya 28 Mei 2009.
- ↑ Sammy Kitula (12 Aprili 2009). Gor coach Siang'a a man under siege. Daily Nation. Rudishwa juu ya 28 Mei 2009.
- ↑ Simba win Cecafa Club Cup. BBC Sport (4 Machi 2002). Rudishwa juu ya 28 Mei 2009.
| Makala hii kuhusu Mchezaji Soka wa Kenya bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu James Siang'a kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |