James Mnanka Wanyancha

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

James Mnanka Wanyancha (amezaliwa tar. 25 Desemba 1952) ni mbunge wa jimbo la Serengeti katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Mengi kuhusu James Mnanka Wanyancha (17 Julai 2006). Jalada kutoka ya awali juu ya 2011-10-24. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.