James Daud Lembeli

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

James Daud Lembeli (amezaliwa 26 Desemba, 1956) alikuwa mbunge wa jimbo la Kahama katika bunge la kitaifa nchini Tanzania hadi mwaka 2015.[1]

Alitokea katika chama cha CCM akajiunga na CHADEMA.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Mengi kuhusu James Daud Lembeli (25 Aprili 2006). Jalada kutoka ya awali juu ya 2011-10-18. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.

Viungo vya nnje[hariri | hariri chanzo]