James Alex Msekela
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
James Alex Msekela (amezaliwa tar. - ) ni mbunge wa jimbo la Tabora Kaskazini katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.
Tazama pia [hariri]
Marejeo [hariri]
- ↑ Mengi kuhusu James Alex Msekela (25 Aprili 2006). Rudishwa juu ya 11 Novemba 2011.
| Makala hiyo kuhusu wanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |