Mkoa wa Ituri

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Ituri)


Mkoa wa Ituri
Mahali paMkoa wa Ituri
Mahali paMkoa wa Ituri
Mahali pa Mkoa wa Ituri katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Majiranukta: 01°34′N 30°15′E / 1.567°N 30.250°E / 1.567; 30.250
Nchi Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Wilaya 5
Mji mkuu Bunia
Serikali
 - Gouverneur Emmanuel Leku Apuobo
Eneo
 - Jumla 65,658 km²
Idadi ya wakazi (1998)
 - Wakazi kwa ujumla 4,241,236

Mkoa wa Ituri ni moja ya mikoa 26 ya kujitawala ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Idadi ya wakazi wake ni takriban 4,241,236. Mji mkuu ni Bunia.

Picha za Ituri


Makala hii kuhusu maeneo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Ituri kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:



 
Mikoa ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Bandera Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Équateur | Ituri | Kasaï | Kasaï Mashariki | Katanga Juu | Kinshasa | Kivu Kaskazini | Kivu Kusini | Kongo Kati | Kwango | Kwilu | Lomami | Lomami Juu | Lualaba | Lulua | Mai-Ndombe | Maniema | Mongala | Sankuru | Tanganyika | Tshopo | Tshuapa | Ubangi Kaskazini | Ubangi Kusini | Wele Chini | Wele Juu
+/-