It's a Shame (My Sister)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
“It's a Shame (My Sister)”
“It's a Shame (My Sister)” cover
Single ya Monie Love akiwa na True Image
kutoka katika albamu ya Down to Earth
B-side Remix
Imetolewa 4 Septemba 1990
Muundo CD single, CD maxi, 7" single, 12" maxi
Imerekodiwa 1990
Aina R&B, hip-hop
Urefu 3:43
Studio Cooltempo, Warner Bros Records
Mtunzi Stevie Wonder, David Steele
Monie Love, Lee Garrett
Syreeta Wright
Mtayarishaji Andy Cox, David Steele
Mwenendo wa single za Monie Love akiwa na True Image
"Monie in the Middle"
(1990)
"It's a Shame (My Sister)"
(1990)
"Down to Earth"
(1990)

"It's a Shame (My Sister)" ni wimbo wa mwaka wa 1990 uliorekodiwa na mwimbaji wa Kiingereza Monie Love, akishirikiana na True Image. Hii ilikuwa single ya pili kutoka katika albamu yake ya kwanza ya Down to Earth, na ilitolewa mwishoni mwa miaka ya 1990 huko nchini Ujerumani na Uingereza mwanzoni mwa mwaka wa 1991 na nchi zingine za Ulaya.

Wimbo umechukuwa sampuli ya wimbo wa The Spinners' "It's a Shame" uliotungwa kwa ajili ya bendi hiyo ambao ulitungwa na Stevie Wonder, na ulipata mafanikio kadha wa kadha, hasa nchini Switzerland ambapo ilifika nafasi ya 6 na kubakia katika chati hizo kwa majuma yasiyopungua 21. Kwa nchini Marekani, wimbo huu ulikuwa wimbo pekee wa Monie Love kupata kutambulika kisawasawa, umefikia nafasi ya 26. "It's a Shame (My Sister)" pia ulichukua nafasi ya pili katika chati za dance za Marekani.[1]

Orodha ya nyimbo[hariri | hariri chanzo]

7" single
  1. "It's a Shame (My Sister)" – 3:43
  2. "It's a Shame (My Sister)" (cool as mix) – 6:36
CD maxi
  1. "It's a Shame (My Sister)" – 3:43
  2. "It's a Shame (My Sister)" (ultimatum mix) – 5:29
  3. "It's a Shame (My Sister)" (cool as... mix) – 6:36
12" maxi
  1. "It's a Shame (My Sister)" (Monie dee mix) – 5:28
  2. "It's a Shame (My Sister)" (ultimatum mix) – 5:29
  3. "It's a Shame (My Sister)" (def reprise) – 2:30
  4. "It's a Shame (My Sister)" (cool as... mix) – 6:35
  5. "It's a Shame (My Sister)" (red zone mix) – 4:30
  6. "Race Against Reality" – 3:03
CD single - Promo
  1. "It's a Shame (My Sister)" (album version) – 3:43
  2. "It's a Shame (My Sister)" (cool as mix / edit) – 3:34
  3. "It'a a Shame (My Sister)" (cool as mix) – 6:35
  4. "It'a a Shame (My Sister)" (ultimatum mix) – 5:29
  5. "It'a a Shame (My Sister)" (hot shot mix) – 7:12

Wahusika[hariri | hariri chanzo]

  • Imetungwa na Stevie Wonder, David Steele, Monie Love, Lee Garrett na Syreeta Wright
  • Viitikio vimeimbwa na True Image
  • Imetayarishwa na Andy Cox na David Steele
  • Maremixi yake -mefanywa na David Morales, Ultimatum na John Waddell
  • Kasha -metengenezwa na Eddie Monsoon

Chati[hariri | hariri chanzo]

Chart (1990/1991) Nafasi
Nafasi
Austrian Singles Chart[2] 12
Dutch Mega Top 100[2] 9
French SNEP Singles Chart[2] 50
German Singles Chart[2] 11
Swiss Singles Chart[2] 6
UK Singles Chart[3] 12
U.S. Billboard Hot 100[4] 26
U.S. Billboard Hot Dance Club Play[4] 2
U.S. Billboard Hot R&B/Hip Hop Songs[4] 8

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Whitburn, Joel (2004). Hot Dance/Disco: 1974-2003. Record Research. p. 159. 
  2. 2.0 2.1 2.2 2.3 2.4 "It's a Shame (My Sister)", katika chati mbalimbali Lescharts.com (Retrieved 16 Mei 2009)
  3. "It's a Shame (My Sister)", UK Singles Chart Chartstats.com (Retrieved 16 Mei 2009)
  4. 4.0 4.1 4.2 Billboard [It's a Shame (My Sister) katika Allmusic allmusic.com] (Retrieved 16 Mei 2009)