Isiro
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Isiro | |
| Mahali pa mji wa Isiro katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo | |
| Anwani ya kijiografia: 2°52′N 27°40′E / 2.867°N 27.667°E | |
| Nchi | Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo |
|---|---|
| Mkoa | Wele Juu |
| Wilaya | Isiro |
| Idadi ya wakazi | |
| - Mji | 147,524 |
Isiro ni mji mkuu wa mkoa wa Wele Juu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Idadi ya wakazi wake ni takriban 147,524.
Tazama pia [hariri]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
| Makala hii kuhusu maeneo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Isiro kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |