Igunga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Igunga
Igunga is located in Tanzania
Igunga
Igunga

Mahali pa Igunga katika Tanzania

Majiranukta: 4°16′48″S 33°52′48″E / 4.28000°S 33.88000°E / -4.28000; 33.88000
Nchi Tanzania
Mkoa Tabora
Wilaya Igunga
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 82,768
Ramani ya Wilaya ya Igunga katika Mkoa wa Tabora, Tanzania.

Igunga ni kata iliyo makao makuu ya Wilaya ya Igunga katika Mkoa wa Tabora, Tanzania, yenye postikodi namba 45601.

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi wa kata walihesabiwa 82,768 [1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 51,172 waishio humo.[2]

Igunga ni kati ya maeneo ambako imani ya ushirikina inaleta matatizo ya mauaji ya kiholela ya watu wanaoshukiwa kuwa wachawi.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Kata za Wilaya ya Igunga - Mkoa wa Tabora - Tanzania

Bukoko | Chabutwa | Chomachankola | Iborogelo | Igoweko | Igunga | Igurubi | Isakamaliwa | Itumba | Itunduru | Kining'ila | Kinungu | Kitangili | Lugubu | Mbutu | Mtunguru | Mwamakona | Mwamala | Mwamashiga | Mwamashimba | Mwashikumbili | Mwisi | Nanga | Ndembezi | Ngulu | Nguvumoja | Nkinga | Ntobo | Nyandekwa | Simbo | Sungwizi | Tambalale | Ugaka | Uswaya | Ziba


Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Tabora bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Igunga kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.