Ignas wa Santhià

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ignas wa Santhià (5 Juni 1686 - 22 Septemba 1770) alikuwa mtawa wa shirika la Ndugu Wadogo Wakapuchini na padri wa Kanisa Katoliki kutoka Italia. Jina lake la awali lilikuwa Lorenzo Maurizio Belvisotti.

Papa Paulo VI alimtangaza mwenye heri tarehe 17 Aprili 1966, halafu Papa Yohane Paulo II alimtangaza mtakatifu tarehe 19 Mei 2002.

Sikukuu yake huadhimishwa kila tarehe 22 Septemba, iliyokuwa siku ya kifo chake[1].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.