Igagala

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Igagala ni kata ya Wilaya ya Kaliua katika Mkoa wa Tabora, Tanzania yenye postikodi namba 45709.

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi wa kata walihesabiwa 46,097 [1]. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 23,841 waishio humo.[2]

Kata hii imepiga hatua sana kimaendeleo, wakazi wake hujishughulisha sana na biashara, kilimo cha tumbaku ambacho huwapatia fedha nyingi.

Kijiji cha Igagala hakina umeme lakini wakazi walio wengi hutumia paneli ya sola. Kwa hiyo muda wa jioni watu huwa kwenye mishemishe ya hali ya juu.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Kata za Wilaya ya Kaliua - Mkoa wa Tabora - Tanzania

Ichemba | Igagala | Igombemkulu | Igwisi | Ilege | Kaliua | Kamsekwa | Kanoge | Kashishi | Kazaroho | Kona Nne | Makingi | Milambo | Mkindo | Mwongozo | Nhwande | Sasu | Seleli | Silambo | Ufukutwa | Ugunga | Ukumbi Siganga | Usenye | Ushokola | Usimba | Usinge | Uyowa | Zugimlole


Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Tabora bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Igagala kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.