Home for Christmas

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Home for Christmas
Home for Christmas Cover
Kasha ya albamu ya Home for Christmas.
Studio album ya 'N Sync
Imetolewa 10 Novemba 1998
Aina pop
Urefu 55:36
Lugha Kiingereza
Studio RCA
Tahakiki za kitaalamu
Wendo wa albamu za 'N Sync
*NSYNC
(1998)
Home for Christmas
(1998)
The Winter Album
(1998)

Home for Christmas ni albamu ya pili kutoka kundi la wanamuziki waitwao 'N Sync, iliyotolewa mnamo 10 Novemba 1998. Single ya "Merry Christmas, Happy Holidays" ilipata mafanikio ya kiasi kwenye redio. Ilithibitishwa 2x platinum nchini Marekani na imeuza nakala milioni nne kote duniani.

Nyimbo zake[hariri | hariri chanzo]

 1. "Home for Christmas" (Haase/Morehead) – 4:28 Lead Vocals:Justin Timberlake and JC Chasez.
 2. "Under My Tree" (Peiken/Roche) – 4:32 Lead Vocals: Justin Timberlake,JC Chasez and Chris Kirkpatrick
 3. "I Never Knew the Meaning of Christmas" (Rogers/Sturken) – 4:45 Lead Vocals:Justin Timberlake and JC Chasez
 4. "Merry Christmas, Happy Holidays" (Renn/Chasez/Timberlake) – 4:12 Lead Vocals:JC chasez and Justin Timberlake
 5. "The Christmas Song" (Mel Tormé/Robert Wells) – 3:15 Lead Vocals:Justin Timberlake and JC Chasez
 6. "I Guess It's Christmas Time" (Peiken/Bliss) – 3:52 Lead Vocals: Chris Kirkpatrick and JC Chasez
 7. "All I Want Is You This Christmas" (Briley/Calitri) – 3:43 Lead Vocals:Chris Kirkpatrick,Joey Fatone, JC Chasez and Justin Timberlake
 8. "The First Noel" (Traditional) – 3:28 Lead Vocals:JC Chasez and Justin Timberlake
 9. "In Love on Christmas" (Bennett/Hailey/Hailey) – 4:06 Lead Vocals:JC Chasez, Joey Fatone and Justin Timberlake
 10. "It's Christmas" (Ries/Thomas) – 4:29 Lead Vocals:Joey Fatone,Justin Timberlake and Chris Kirkpatrick. Spoken by Lance Bass
 11. "O Holy Night" (Traditional, arranged by Robin Wiley) – 3:33 Lead Vocals: Justin Timberlake, JC Chasez and Chris Kirkpatrick
 12. "Love's in Our Hearts on Christmas Day" (Haase/Lowell/Werking) – 3:54 Lead Vocals:Justin Timberlake and JC Chasez
 13. "The Only Gift" (Christensen/Franzell) – 3:51 Lead Vocals:Justin Timberlake, Chris Kirkpatrick,Joey Fatone,Lance Bass, and JC Chasez
 14. "Kiss Me at Midnight" (Renn/Lamb) – 3:28 Lead Vocals:JC Chasez and Justin Timberlake

Nyimbo zingine za Krismasi[hariri | hariri chanzo]

 • "I Don't Wanna Spend One More Christmas Without You" (Found on "Now That's What I Call Christmas Vol. 2")
 • "You Don't Have to Be Alone (On Christmas)" (Found on "The Grinch" soundtrack)

Marejeo[hariri | hariri chanzo]