Hirohito wa Japani
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Hirohito (29 Aprili 1901 – 7 Januari 1989) alikuwa mfalme mkuu wa 124 (Tenno) wa Japani. Alimfuata baba yake Yoshihito tarehe 25 Desemba 1926 na kuwa mfalme hadi kifo chake. Aliyemfuata ni mwana wake Akihito.
| Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Hirohito wa Japani kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |