Hira
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
21°27′27.20″N 39°51′33.90″E / 21.4575556°N 39.8594167°E
Hira (Kiarabu: حراء Ḥirāʾ) au Pango la Hira (غار حراء Ġār Ḥirāʾ) ni pango lililopo karibu na mji wa Makka, kwenye uitwao Jabal an-Nūr kwenye kanda ya Hejaz ya Saudi Arabia ya leo. Pango peke yake lina eneo la 4 m na urefu wa 1.75 m kwa mapana[1].
Lina fahamika zaidi na Waislamu kwa kuwa sehemu ambao mtume Muhammad amepokea aya ya kwanza kutoka kwa Mwenyezi Mungu (Allah) kupitia malaika wake Jibril[1].
Marejeo[hariri]
Viungo vya Nje[hariri]
- In pictures: Hajj preparations Pictures #4 and #5 are of Jabal an-Nūr and the Hira cave.
- In the Cave of Hira’
| Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Hira kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
| Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Hira kama historia yake au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |