Hinabuluu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Hinabuluu
Hinabulu wa Asia (Indian Pitta)
Hinabulu wa Asia (Indian Pitta)
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Nusufaila: Vertebrata (Wanyama wenye uti wa mgongo)
Ngeli: Aves (Ndege)
Oda: Passeriformes (Ndege kama shomoro)
Familia ya juu: Pittoidea (Ndege kama hinabuluu)
Familia: Pittidae (Ndege walio na mnasaba na hinabuluu)
Jenasi: Pitta
Vieillot, 1816
Spishi: Angalia katiba

Hinabuluu ni ndege wa ardhi wa jenasi Pitta, jenasi pekee ya familia Pittidae. Ndege hawa ni wakubwa na wanene kiasi wenye miguu mirefu, mkia mfupi sana na domo lenye nguvu. Spishi nyingi zina rangi kali. Wanatokea ardhini kwa misitu minyevu ya tropiki ya Afrika, Asia na Australia. Hula makoa, wadudu na wanyama wengini kama wale. Hujenga tago la mviringo kwa manyasi na majani lenye mwingilio kwa upande wake. Jike huyataga mayai 4-5.

[hariri] Spishi za Afrika

[hariri] Spishi za mabara mengine

[hariri] Picha

Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine