Herbert James Mntangi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Herbert James Mntangi (amezaliwa 16 Oktoba, 1950) ni mbunge wa jimbo la Muheza katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Mengi kuhusu Herbert James Mntangi (25 Aprili 2006). Jalada kutoka ya awali juu ya 2011-10-17. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.