Heilbronn
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Heilbronn | |||
| Kitovu cha mji wa Heilbronn | |||
|
|||
| Mahali pa mji wa Heilbronn katika Ujerumani | |||
| Anwani ya kijiografia: 49°9′N 9°13′E / 49.15°N 9.217°E | |||
| Nchi | Ujerumani | ||
|---|---|---|---|
| Jimbo | Baden-Württemberg | ||
| Idadi ya wakazi | |||
| - Mji | 122,098 | ||
| Tovuti: www.heilbronn.de | |||
Heilbronn ni mji wa Baden-Württemberg nchini Ujerumani. Iko kando ya mto Neckar. Idadi ya wakazi wake ni takriban 122,000. Mji ulianzishwa 741.
Tazama pia[hariri]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
| Makala hii kuhusu maeneo ya Ujerumani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Heilbronn kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |