Harvard Law Review

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Harvard Law Review ni jarida la kisheria lenye kufuatilia habari za kisheria na maamuzi ya Mahakama za Marekani. Jarida hili huchapishwa na wanafunzi katika kitivo cha Sheria kwenye chuo Kikuu cha Harvard kila mwezi kuanzia Novemba hadi Juni.

Jarida hili lilichapishwa mara ya kwanza April 15, 1887, na lina wahariri wakuu 14 wanaochaguliwa kila mwaka kutoka katika ujumla wa wanafunzi katika kitivo hicho cha sheria.

[hariri] Viungo vya Nje

Nuvola apps bookcase.svg Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Harvard Law Review kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine