Harith Bakari Mwapachu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Harith Bakari Mwapachu (amezaliwa tar. 25 Julai 1939) ni mbunge wa jimbo la Tanga katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Mengi kuhusu Harith Bakari Mwapachu". 1 Februari 2007. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-18. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.