Hard Knock Life (Ghetto Anthem)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
“Hard Knock Life (Ghetto Anthem)”
“Hard Knock Life (Ghetto Anthem)” cover
Single ya Jay-Z
kutoka katika albamu ya Vol. 2... Hard Knock Life
Imetolewa 27 Oktoba 1998
Muundo 12-inch single, Cassette, CD, Vinyl
Aina East Coast hip hop
Urefu 3:58 (Album Version)
3:36 (Edit)
Studio Roc-A-Fella Records
Mtunzi Shawn Carter
Mtayarishaji The 45 King
Mwenendo wa single za Jay-Z
"Can I Get A..."
(1998)
"Hard Knock Life (Ghetto Anthem)"
(1998)
"Money, Cash, Hoes"
(1998)

"Hard Knock Life (Ghetto Anthem)" ni single kutoka katika albamu ya tatu ya rapa wa JKimarekani, Jay-Z. Single inatoka katika albamu ya Vol. 2... Hard Knock Life. Imechukua sampuli ya wimbo wenyejina lilelile la kigwagizo cha Broadway Annie. Wimbo umetayarishwa na The 45 King na wakati wimbo huu ulivyokuwa unatoka, ulikuwa wimbo uliopata mfanikio makubwa kabisa katika kazi za Jay-Z. Jumuia ya utoaji wa tunu za muziki ya Marekani ya RIAA, imeitunukia single hii dhahabu mnamo mwezi wa Machi ya mwaka wa 1999. Mengineyo, single ilipatwa kushindanishwa katika Tuzo za Grammy katika upande Rap Bora za Msanii Mmoja-Mmoja wakati wa ugawaji wa tuzo wa 41 mnamo 1999.

Ilipata kushika nafasi ya 11 kwenye Nyimbo Kali 100 za Hip Hop za VH1.

Chati Ilizoshika[hariri | hariri chanzo]

Chati (1999) Nafasi
Iliyoshika
U.S. Billboard Hot 100 15
U.S. Billboard Hot R&B/Hip-Hop Singles & Tracks 10
U.S. Billboard Hot Rap Singles 2
UK Singles Chart 2

Single track list[hariri | hariri chanzo]

UK CD[hariri | hariri chanzo]

  1. "Hard Knock Life (Ghetto Anthem) (Radio Edit)"
  2. "Can't Knock The Hustle (Fools Paradise Remix)"
  3. "Hard Knock Life (Ghetto Anthem) (Album Version)"

Vinyl[hariri | hariri chanzo]

A-Side[hariri | hariri chanzo]

  1. "Hard Knock Life (Ghetto Anthem) (Single Version Clean)"
  2. "Hard Knock Life (Ghetto Anthem) (LP Version)"

B-Side[hariri | hariri chanzo]

  1. "Hard Knock Life (Ghetto Anthem) (Instrumental)"


Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]