Halfeti

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Halfeti and the river Euphrates

Halfeti ni mji na wilaya iliopo katika Mkoa wa Şanlıurfa kwenye kanda ya Kusinimashariki mwa Anatolia huko nchini Uturuki.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Halfeti kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.