Haji Juma Sereweji
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Haji Juma Sereweji (amezaliwa tar. 5 Februari 1948) ni mbunge wa jimbo la Mwanakwerekwe katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.
Tazama pia [hariri]
Marejeo [hariri]
- ↑ Mengi kuhusu Haji Juma Sereweji (19 Julai 2006). Rudishwa juu ya 11 Novemba 2011.
| Makala hiyo kuhusu wanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |