Hai
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wilaya ya Hai ni wilaya moja ya Mkoa wa Kilimanjaro. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa Wilaya ya Mbulu ilihesabiwa kuwa 259,958 [1]. Katika wilaya hiyo Wachaga wengi wanaishi ambao huzungumza lahaja tofauti, kama Wamachame na Wamasama.
| Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Kilimanjaro bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Hai kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
| Kata za Wilaya ya Hai - Mkoa wa Kilimanjaro - Tanzania Kata zifuatazo bado ni pamoja na zile za wilaya mpya ya Siha. Ukijua ni kata zipi zilizopelekwa Siha saidia kuhariri kigezo hiki |
||
|---|---|---|
|
Hai Mjini | Machame Kaskazini | Machame Kusini | Machame Magharibi | Machame Uroki | Masama Kusini | Masama Magharibi | Masama Mashariki | Masama Rundugai | Siha Kaskazini | Siha Kati | Siha Magharibi | Siha Mashariki | Machame Mashariki | |
||