Guy Butler
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Frederick Guy Butler (21 Januari, 1918 - 26 Aprili, 2001) alikuwa mwandishi wa Afrika Kusini. Alifundisha kama profesa wa Kiingereza katika Chuo Kikuu cha Rhodes kule Grahamstown. Pia alitunga mashairi mengi.
[hariri] Orodha ya vitabu vyake
- When Boys Were Men (1969)
- The 1820 Settlers (1974)
- Selected Poems (1975)
- Karoo Morning (1977)
- Bursting World (1983)
- A Local Habitation (1991)
Pia alikuwa mhariri wa vitabu:
- Book of South African Verse (1959)
[hariri] Angalia pia
[hariri] Marejeo
- Chapman, Michael. 2003. Southern African Literatures, University of Natal Press. ISBN 1-86914-028-1
| Makala hii kuhusu mtu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Guy Butler kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |